We are on the same boat Africa america or Europe

Katika dunia ni lazima tuishi kupendana ili tuwe na umoja kupunguza ubaguzi. Moja tunaitaji kuelimisha watoto kuhusu MTU mweusi na sio kumjengea kumnyanyasa na kumbagua unavyo mjenga mtoto katika misingi mizuri ili tuepushe machafuko ya ubaguzi